Total Pageviews

Tuesday, 5 September 2017

FAHAMU AINA ZA SAUTI ZA UIMBAJI ZITUMIWAZO NA WAIMBAJI

🎼Created🎼 BY
🅿OLITE ♓ARRISON 🎶🎵🎶🎵
〰〰〰〰〰〰〰〰〰
AINA ZA SAUTI ZA KUIMBA🎤🎻🎹🎷🎺🎸
_________________________
Kwa kawaida tumezoea kuimba pasipo kufahamu au kufahamu kwa uchache kuwa unaimba sauti ipi au sauti ya ngapi. Leo napenda kuchukua nafasi hii na kuwajulisha Aina za sauti zinazotumika na waimbaji wengi duniani.
+-+-+-+-+-+-+-+-+-+-+-+-+-+-+-+-+TUANZE NA SAUTI YA KWANZA----SOPRANO.
🚧🚧🚧🚧🚧🚧🚧🚧🚧
1.⛳.soprano. Hii ndio sauti ya juu kabisa ya kike (HIGHEST FEMALE VOICE)----range yake ni B3-G6 kwenye piano.
🎸. AINA ZA SOPRANO NI HIZI ZIFUATAZO.
----------------------------------------
I.coloratura.
II.lyric
III.soubrette. n.k
HIZI ZOTE ZINATOFAUTIANA NA WACHACHE HAPA DUNIANI WANAWEZA KUZITUMIA.
2.⛳⛳MEZZO-SOPRANO. Hii ni aina nyingine ya sauti ya kwanza (HIGHEST FEMALE VOICE). Hii ina range G3-A5 kwenye piano. Pia inaitwa SOPRANO 2.
SAUTI YA PILI
🚧🚧🚧🚧🚧🚧🚧🚧🚧🚧
3.⛳⛳⛳ CONTRALTO Hii ndio inaitwa (LOWEST FEMALE VOICE). Katika kwaya nyingi Contralto inafahamika kama ALTO na hii huwa inaimba kum-support SOPRANO........Na wataalamu wa muziki wanasema TRUE ALTO ni nzuri kwenye nyimbo za SOLO kuliko soprano.
SAUTI YA TATU.
🚧🚧🚧🚧🚧🚧🚧🚧🚧🚧
5.⛳⛳⛳⛳⛳COUNTERTENOR. Hii inafaa kuchanganya na sauti zingine zote na ukapenda wimbo (RAREST OF ALL VOICE). Ni sauti ya kiume inayofanana kama soprano au mezzo soprano na ndio siku hizi inapendwa kwenye kwaya nyingi duniani za kiadventist. Hii ina range C3-B4 kwenye piano.
6.⛳⛳⛳⛳⛳⛳
TENOR. Hii ni sauti ya juu ya kiume, (HIGHEST MALE VOICE). Hii ina range ya C3-B4 kwenye ambayo ni 2 octave tu. Wanaume wengi wanaoanza kuimba kwenye kwaya wanapenda kuimba tenor kuliko sauti nyingine.
7.⛳⛳⛳⛳⛳⛳⛳
BARITONE. Hii ni sauti yenye range ya G2-B4 kwenye piano. kama huijui baritone nitakuambia leo. Kawaida unapoimba ALTO au BASS na ukashindwa kufikia NOTE za wimbo hapo ujue umeimba baritone.
SAUTI YA NNE
🚧🚧🚧🚧🚧🚧🚧🚧🚧🚧
8.⛳⛳⛳⛳⛳⛳⛳⛳
BASSS. Hii ina range kati ya D2-E4 kwenye piano. Inatambulika kama sauti ya chini ya kiume (LOWEST MALE VOICE). Bass nayo ina aina zake na leo nitakuonyesha.
I. ACTING BASS.
II. HEAVY ACTING BASS.
III. SERIOUS BASS.
Kwa ujumla tukianza kuchambua sauti moja moja tutachambua sauti 24. Ila wengi tunajua kuna sauti nne..........hayo ni makundi ya sauti.
Brought By POLITE.
🎶🎶MBWANA ASIFIWE🎶🎶

12 comments: